Select a page

May 10th

Happy Mother’s Day!

Posted by with 3 Comments

Kwa siku muhimu kama hii tumeona tuchukue nafasi hii kuwashukuru kina mama kwa upendo na jitihada zao za kuwalea watoto zao. Wewe kama mtoto tunakupa hii chance ya ku mu appriciate mama yako na sisi tutakusaidia kum pamper hiyo siku kwa niaba yako. Chukua nafasi hii kumuonyesha mama yako upendo na umuhimu wake katika maisha [...]

Read More