Select a page

Mar 29th

Kitu Paraffin!!!!!

Posted by with 5 Comments

Paraffin Treatment: Amaya Beauty Salon and Spa, tuna service nyingi sana ambazo tunaamini kwamba wateja wetu wanazifurahia, na wewe ambae bado hujafika tunakuahidi kwamba utazifurahia. Mara kwa mara tunapenda kuchukua fursa hii kuzitambulisha na kuzielezea kwa undani kidogo, ili wateja wetu wazijue faida zake, na wale wengine ambao hamjawahi kuzitumia mzijaribu. Leo tutaelezea kidogo kuhusu [...]

Read More
Mar 27th

Je unajua kwanini nywele zinakatika?????

Posted by with 8 Comments

Habari zenu ndugu jamaaa na marafiki; Leo tumeona tujaribu kufahamishana kuhusu Aina tofauti za shampoo na kazi zake katika nywele. Tumepata malalamiko mengi kutoka kwa wateja kuhusu nywele zao kuharibika. Mambo mengi yanachangia katika uharibikaji wa nywele, mojawapo ni matumizi ya shampoo isiyo sahihi kwa muda muafaka. Kuna aina nne za shampoo. 1. clarifying shampoo: [...]

Read More