Select a page

Jun 11th

Utunzaji Nywele na Stylist

Posted by with No Comments

                         FAHAMU NYWELE ZAKO KABLA HUJAMPA KICHWA STYLISTS.       Topic yetu ya leo ni kujaribu kuwafundisha wateja wetu, na wasio wetu, umuhimu wa kujua nywele zao kabla aujampa stylist kichwa chako. Inawezekana mapungufu ya stylist hutokana na ufinyu wa vifaa kwenye salon wanayofanyia kazi,(ukigundua hilo hima hima tafuta vitu vyako) lakini pia inawezekana huyo stylist [...]

Read More
Jun 5th

The Best Skin Care for Oily Skin:

Posted by with 1 Comment

Oily skin can be really tricky to take care of because one wrong move can spell disaster for the skin. One must remember that among the basic skin types, oily skin is perhaps the most sensitive and easily triggered. Although having oily skin will lessen the possibility of developing wrinkles and lines early in life, [...]

Read More
May 10th

Happy Mother’s Day!

Posted by with 3 Comments

Kwa siku muhimu kama hii tumeona tuchukue nafasi hii kuwashukuru kina mama kwa upendo na jitihada zao za kuwalea watoto zao. Wewe kama mtoto tunakupa hii chance ya ku mu appriciate mama yako na sisi tutakusaidia kum pamper hiyo siku kwa niaba yako. Chukua nafasi hii kumuonyesha mama yako upendo na umuhimu wake katika maisha [...]

Read More
Apr 7th

Never Seen Before Photos of S.Kanumba @ Amaya Beauty Salon

Posted by with 4 Comments

One of our great friend, Steven Kanumba, just lost his life today. It is with deep sadness we are hurting and mourning for his life. He was one of our Amaya’s finest customer. He was not only funny and humble but also very generous with his advices. He always encouraged and adviced us on many [...]

Read More
Mar 29th

Kitu Paraffin!!!!!

Posted by with 5 Comments

Paraffin Treatment: Amaya Beauty Salon and Spa, tuna service nyingi sana ambazo tunaamini kwamba wateja wetu wanazifurahia, na wewe ambae bado hujafika tunakuahidi kwamba utazifurahia. Mara kwa mara tunapenda kuchukua fursa hii kuzitambulisha na kuzielezea kwa undani kidogo, ili wateja wetu wazijue faida zake, na wale wengine ambao hamjawahi kuzitumia mzijaribu. Leo tutaelezea kidogo kuhusu [...]

Read More
Mar 27th

Je unajua kwanini nywele zinakatika?????

Posted by with 8 Comments

Habari zenu ndugu jamaaa na marafiki; Leo tumeona tujaribu kufahamishana kuhusu Aina tofauti za shampoo na kazi zake katika nywele. Tumepata malalamiko mengi kutoka kwa wateja kuhusu nywele zao kuharibika. Mambo mengi yanachangia katika uharibikaji wa nywele, mojawapo ni matumizi ya shampoo isiyo sahihi kwa muda muafaka. Kuna aina nne za shampoo. 1. clarifying shampoo: [...]

Read More
Feb 1st

Welcome to our Website

Posted by with 6 Comments

At the Amaya beauty Saloon & Spa, we are dedicated to complete customer care, with the emphasis on professionalism, communication and teamwork. We aim to exceed your expectations and to treat you, our client, with the utmost devotion. Our professional staff approaches all services with the philosophy that each style should reflect each individual’s wishes [...]

Read More