Paraffin Treatment:
Amaya Beauty Salon and Spa, tuna service nyingi sana ambazo tunaamini kwamba wateja wetu wanazifurahia, na wewe ambae bado hujafika tunakuahidi kwamba utazifurahia. Mara kwa mara tunapenda kuchukua fursa hii kuzitambulisha na kuzielezea kwa undani kidogo, ili wateja wetu wazijue faida zake, na wale wengine ambao hamjawahi kuzitumia mzijaribu.
Leo tutaelezea kidogo kuhusu Pedicure ya Paraffin.
Paraffin pedicure ni moja ya service hapa Amaya tunafanya katika department ya Hand and Feet Treatment. Ni aina ya pedicure ambayo tunatumia paraffin wax, kulainisha miguu yako na kuwa kama mtoto mdogo (gurantee). Baada ya kumaliziwa hii service, miguu inakuwa laini kupita kiganja chako cha mkono (kama mkono wako laini lakini !!! tusije tukaahidi kumbe tayari una matatizo kwenye viganja) anyways, ahadi in kwamba utalainika miguu, mashuka hayatachanika tena na muhimu zaidi patner wako atakushukuru.
Procedure yenyewe inachukua muda kidogo; miguu yako inatumbikizwa kwenye kifaa chenye joto cha paraffin wax, na kufungwa na mifuko maalumu ya plastic na kusubiria kwa dakika kumi.
Hii procedure ni muhimu sana, japo inasaidia miguu yako kuwa laini, pia inasaidia watu wenye matatizo ya miguu, kama vile arthritis, na magonjwa mengine ya mifupa. Lile joto la paraffin linasaidia sana kuongeza speed ya mzunguko wa damu, na inafanya muscles zina kuwa relaxed na kupunguza maumivu.
Karibuni sana Amaya Beauty Salon, tukutambulishe Paraffin kwenye miguu na mikono yako kwa bei che!


http://poubelleautomatique.fr/
May 25, 2012 at 3:59 pmhello!,I like your writing so much! share we communicate extra approximately your post on AOL? I need an expert in this space to resolve my problem. May be that’s you! Having a look forward to look you.
scrapebox list
May 25, 2012 at 4:29 pmThank you a lot for providing individuals with remarkably memorable possiblity to read in detail from this blog. It is always so enjoyable plus full of a great time for me and my office fellow workers to search your blog more than three times in 7 days to see the fresh stuff you have got. Not to mention, I’m actually amazed concerning the incredible points you give. Some 4 tips in this article are absolutely the most effective I have ever had.
manny pacquiao vs hatton
June 11, 2012 at 9:37 amThank you so much for giving me an update on this topic on your website. Please be aware that if a fresh post appears or when any improvements occur to the current post, I would want to consider reading more and finding out how to make good utilization of those methods you share. Thanks for your time and consideration of other folks by making your blog available.
judy garland quotes
June 11, 2012 at 3:21 pmThis really is a great post. Thank You.
movies online for free
June 15, 2012 at 3:56 pmAmaya Beauty Salon & Spa – Kitu Paraffin!!!!! just best like you say!