Habari zenu ndugu jamaaa na marafiki; Leo tumeona tujaribu kufahamishana kuhusu Aina tofauti za shampoo na kazi zake katika nywele.
Tumepata malalamiko mengi kutoka kwa wateja kuhusu nywele zao kuharibika. Mambo mengi yanachangia katika uharibikaji wa nywele, mojawapo ni matumizi ya shampoo isiyo sahihi kwa muda muafaka.
Kuna aina nne za shampoo.
1. clarifying shampoo: Ni aina ya shampoo inayosaidia kutoa dawa(relaxer) na chlorine ambayo imechanganywa kwenye dawa ya relaxer. Hii inatumiwa tu endapo utakuwa umeweka dawa ya relaxer katika mywele.
2. Moisturizing shampoo: Hii inasaidia kulainisha nywele zilizokakamaa ili ziwe laini pia inawezwa kutumiwa wakati wowote unapoosha nywele zako.
3. Neutralizing shampoo: hii inatoa ukali wa chemical za relaxer na rangi(ya nywele) kwenye ngozi na nywele, ndio maana ukiiosha inabadilika rangi na kuwa pink, ile ni muonekano wa utoaji wa chemical kwenye nywele.
4. Special care au treatment shampoo: Ni shampoo ambazo zinatumika kama dawa, kwa mfano una matatizo ya m’ba, au vidonda, kuna aina maalum ya shampoo za matibabu.
Kuwa mwangalifu na shampoo unazotumia kuimarisha unywele wako.
Kwa maelezo na matibabu zaidi ya nywele zako: Tembelea
Amaya Beauty Salon & Spa
(Home of all the answers about the BEAUTY)


Mariam
March 27, 2012 at 7:00 pmKiukweli nmefurahishwa sana na huduma zenu na nipo tayari hata kuwaconvic marafiki kufanya huduma zao Amaya,nmekua wa kukatika nywele kwa mda mrefu ila nilipoanza kuja amaya nmeona maajabu kwa ss nywele zangu zinavutia….jamani msizubae mkaone maajabu na si nywele tu jaman hata pedicure na manicure you guys are da best…big up amaya
Twiggs
March 29, 2012 at 5:45 pmNaomba ushauri wenu nywel zangu hazirefuki na zinakatika kiasi kwamba natamani kukata kwa upande wa dawa natumia DARK N LOVELY na steaming ya HONEY.Nifanye nini nami niwe na nywele ndefu kama itabidi kubadili dawa,steaming na hata mafuta na aina shampoo kama ikiwezekana niambieni. Plzzzzzzzzzz.
mzuri
May 15, 2012 at 2:55 pmnywele za hazirefuke na kila nikiweka dawa naziona ziko palepale na omba unisaidie ushauri kwa nazipenda sana nywele zangu
admin
May 15, 2012 at 3:13 pmMzuri; kwanza asante sana kwa kututembelea. matatizo yako yanategemea sana na jinsi unavyo take care of your hair. Na ni dawa gani unatumia kichwani. Ni maswali mengi tungependa kukuuliza ili tukusaidie katika matatizo yako, kwahiyo usisite kuja kututembelea au kutuandikia kwenye email yetu ili tuweze kusaidiana zaidi.
massachusetts search engine optimization
June 7, 2012 at 7:20 pmSimply desire to say your article is as astounding. The clearness in your post is simply nice and i could assume you are an expert on this subject. Fine with your permission allow me to grab your RSS feed to keep up to date with forthcoming post. Thanks a million and please keep up the rewarding work.
Nodin
June 8, 2012 at 2:42 pmYour answer shows real intelilngece.
talk radio
June 11, 2012 at 10:04 amYou made some decent points there. I looked on the internet for the subject matter and found most people will consent with your website.
wizard of oz cast
June 11, 2012 at 10:11 amI like this internet site it’s a master piece! Glad I noticed this on google.